Saturday, March 3, 2012

HAYA NI MAISHA BORA YA KILA MTANZANIA

Kama ni haya maisha tutafika kweli ? katika miaka 50 ya uhuru bado wanchi tunaedelea kukaa katika maisha haya .

Friday, March 2, 2012

MABOYA NIMUHIMU ZIWA VICTORIA KWA TAHADHALI

KIJANA  HUYU AKIWA MJINI BUKOBA AKIWA AMEBEBA ZANA ZA   KUOGELEA (MABOYA) AKIELEKEA KATIKA UFUKWE WA ZIWZ VICTORIA PICHA NA MAGRETH CHABA

MIAKA 50 YA UHURU

hizi ni baadhi ya fedha zilizo kuwa zikitumika kabla na baadaa ya uhuru ambazo zipo katika makumbusho ya BUDAP mjini Bukoba